Monday, June 2, 2014

NYUMBA YA KISASA INAUZWA, MIANZINI ARUSHA

 NYUMBA YA KISASA INAUZWA, ENEO LA MIANZINI ARUSHA 

  • INA ENEO LA MITA 30 KWA 40
  • SITTING ROOM NA DINNING ROOM
  • VYUMBA VITATU VYA KULALA, KIMOJA NI MASTER BED ROOM
  • JIKO LENYE FANICHA ZOTE
  • IMEFANYIWA FINISHING NZURI SANA
  • INA ENEO LA BUSTANI NA ENEO ZURI KWA AJILI YA KUPAKI GARI 2
  • IMEZUNGUSHIWA FENCE NA INA GETI
  • IPO BARABARANI NA GARI ZINAFIKA BILA SHIDA
INA LESENI YA MAKAZI YAANI TITTLE DEED.

PIGA SIMU NAMBA 0756478314

No comments:

Post a Comment