Mshindi wa taji la Miss Tabata
2014, Ambasia Maliy (katikati) akipozi na mshindi wa pili Ramta Mkadara
(kushoto) na wa tatu Faudhia Feka (kulia).
Washindi walioingia Top 3 wakati wakisubiri atangazwe mshindi.
Miss Tabata 2013 ambaye amemaliza muda wake.
Mshindi wa taji la Miss Tabata 2014, ni Ambasia Maliy huku mshindi wa pili akiwa ni Ramta Mkadara na wa tatu ni Faudhia Feka.
No comments:
Post a Comment