Monday, June 9, 2014

KIJANA AUAWA KINYAMA ARUSHA, KISA SHILINGI ELFU 40

Kijana huyu ameuawa kinyama na rafiki yake, kwa kile inachosemekana ni deni la sh. 40,000/- ambalo marehemu alishindwa kulipa

Mwili wa marehemu baada ya kuchomwa kisu kifuani.

No comments:

Post a Comment