Hatimaye mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari jana ameaga kambi ya wabunge makapera baada ya kufunga pingu za maisha jijini Arusha.
Waheshimiwa Job Ndugai na Freeman Mbowe wakijisevia chakula kwenye sherehe ya harusi ya Joshua Nassari jana
Mmpja wa wageni akijipozi kwa picha katiaka shere hiyo.
Sisi udaku pepe tunawatakia Joshua Nassari na mkewe maisha mema ya ndoa yenye furaha na amani.
No comments:
Post a Comment