Mwenye nyumba anaitwa Magesa ana kampuni ya clearing and fowarding nasikia ana hela balaa na ni mtu wa dini sana.pembeni ya nyoka imekutwa karatasi imeandikwa Quran.
Wananchi wameamua kumuua tu.
Hii ni picha ya chatu huyo baada ya kukutwa na wananchi wa eneo hilo.
Pamoja na Magesa kutaka chatu wake asiuawe lakini wananchi walimkatakata mapanga na kumuua chatu huyo
Kitambaa chenye maneno ya kiarabu alichokuwa amefungwa nacho nyoka huyo.
Nyoka huyo akiwa ndani ya uzio wa nyumba alimokutwa
Mzoga wa nyoka huyo unavyoonekana pichani baada ya kukatwakatwa na wananchi
Mwananchi akiwa amebeba mzoga wa nyoka huyo mara baada ya kuuawa
No comments:
Post a Comment