Tuesday, May 13, 2014

PICHA ZA UTUPU ZASABABISHA NDOA KUOTA MBAWA...TAZAMA LIVEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!

MWANAMKE MMOJA ALIYEKUWA NATARAJIA KUFUNGA NDOA NCHINI NIGERIA AMEJIKUTA KATIKA WAKATI MGUMU BAADA YA MUME WAKE MTARAJIWA KUVUNJA MIPANGO YA HARUSI BAADA YA KUONA PICHA ZA UTUPU ZA MKEWE ZILIZOPIGWA NA MPENZI WA ZAMANI WA MWANAMKE HUYO NA KUSAMBAZWA MITANDAONI.


Moja kati ya picha zilizosababisha mipango ya ndoa kuvunjika.

No comments:

Post a Comment