Sunday, May 11, 2014

MWANAMUZIKI P.DIDDY ALAMBA DEGREE YA HESHIMA CHUO KIKUU CHA HOWARD MAREKANI... TAZAMA MAPICHA NDANI..

P.Diddy akipungia mkono watu mbalimbali waliohudhuria sherehe hizo katika Chuo Kikuu cha Howard.

D.Diddy akishangilia kwa furaha baada ya kutunukiwa shahada ya heshima.

Mwanamuziki P.Diddy akihutubia mamia ya wahitimu na wageni waalikwa wakati wa sherehe za mahafali ya chuo hicho.

No comments:

Post a Comment