Thursday, May 15, 2014

MCHUNGAJI MKWARE ANASWA LIVE AKIBANJUKA NA MKE WA POLISI... WACHEZEA KICHAPO NA KUTEMBEZWA UCHI BARABARANI....







Mchungaji mmoja nchini Kenya amebamwa live akila uroda na mke wa polisi mmoja ambaye ni muumini wake, baada ya kufumaniwa mchungaji na mwanamke huyo walishushiwa kichapo cha mbwa mwizi kabla ya kupelekwa kituo cha polisi.

No comments:

Post a Comment