Luhansk ni taifa jipya lililojitenga hivi karibuni kutoka Ukraine, hata hivyo taifa hilo bado halijatambuliwa rasmi na jumuiya ya kimataifa lakini tayari wameanza kuteua baraza la mawaziri lenye mawaziri 28, mmoja wa mawaziri hao ni mwanamama chakaramu anayeitwa Irina Filatova ambaye ameteuliwa kuwa waziri wa utamaduni wa taifa hilo changa.
Tazama mapicha yake akijiachia kwa raha zake
No comments:
Post a Comment