Ajali imetokea mombo leo hii. Coastal iliyoanguka ilikuwa na watu 25,
Mungu kasaidia hakuna aliyekufa. Hongereni sana madaktari wa Magunga
kwa kazi nzuri! - Mkuu wa wilaya ya Lushoto, Mrisho Gambo.
Tunawapa pole majeruhi wote na tunawatakia nafuu ya haraka.
No comments:
Post a Comment