Mbunge wa Mwibara, Kange
Lugola akiomba kura za kuwania nafasi ya Mjumbe wa Tume ya Utumishi
Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo.
Mbunge wa Mwibara akivua bango
alilokuwa ameva wakati akiomba kura kwa wabunge za kuwania kuteuliwa
kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini
Dodoma Juni 11, 2014. Aliamriwa kuvua bango hilo na Spika wa Bunge Anne
Makinda.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mwanza Mjini, Ezekiel Wenje , Bungeni mjini Dodoma Juni 11, 2014.
No comments:
Post a Comment