Thursday, May 8, 2014

SHABAAAASH: HAWA NDIO MADEMU WAIGIZAJI WA BONGO MOVIE WENYE MVUTO ZAIDI KIMAHABA....

HAPA CHINI NI MADEMU WATANO WA KIWANDA CHA FILAMU TANZANIA WENYE MVUTO ZAIDI KIMAHABA. KIUKWELI NI KWAMBA KUTOKANA NA MVUTO WAO WAMEKUWA KIVUTIO KIKUBWA KWA VYOMBO VYA HABARI.

Irene Uwoya katika pozi

Jackline Wolper

Msanii Kajala Masanja

Elizabeth Michael maarufu kama Lulu naye pia huwindwa na wakware kutokana na mvuto wake wa kimahaba

Rose ndauka naye pia anatajwa kuwa mmoja wa waigizaji wenye mvuto kimahaba.

Wema Sepetu ambaye pia amewahi kuwa Miss Tanzania miaka ya nyuma na kisha kujiunga na tasnia ya filamu, anatajwa kuwa na mvuto wa kimahaba hali inayosababisha midume kushindana kumpata hata kwa kuweka dau kubwa la pesa.

No comments:

Post a Comment